Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Huo ndio ujentlomani...
Unanidai buku.
Ha hahahahah, labda ayabebe maji kwenye ndoo , akibeba kwenye karai itakuwa ndo ujentoromani
Huo ndio ujentlomani...
Unanidai buku.
Oky sawa mkuuHapana mkuu.
Na sie twakusalimunawasalimu !
Morning joh..Amani ya yy aliyeweza kutufikisha asubuhi hii tukiwa wazima wa Afyaa aifanye siku yako kua njema..
Good morning Brothers & Sisters..
Asante mboni yangu mie apa [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]Uwe na siku njema kipusa changu .
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nipo mwanangu.. niaje!?vipi kaveli.? Upo
Shemeji za kuadimikaShkamo mamy
Leta nimshikie basiHuo ndio ujentlomani...
Unanidai buku.
My love TumosaAsante mama we love u too
Pamoja sana mdau Obeshululu asante sana kwa magazeti.
Asante BlessedHope kuanzisha furahiday hii kwa sala na nukuu za biblia.
Tuwe na Ijumaa njema Makapuku wote.
,.afu Tumosa jana umeniita 'mkuu' , nilikuangalia tu, nikajua labda ulikuwa kwenye promotion ya bia mpya. Iwe na furahiday njema
Unatafutwanawasalimu !
Dah.. sishangai wewe na husna muba kuwa mtu na kipusa wake.. mnaendana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha hahahahah, labda ayabebe maji kwenye ndoo , akibeba kwenye karai itakuwa ndo ujentoromani
Morning, za kwako jiraniMorning kaka
Nzuri tuu shemShemeji za kuadimika
Leta nimshikie basi
Nikikupa wewe wambea watasema mengine acha ajr nimpe mwenyeweLeta nimshikie basi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Shukran kaka
Salama tu, vip hali jiraniMorning, za kwako jirani
Hahaha...usawa huu sina imani kama anaweza akakupa na hata akikupa labda aichane nusu, ushike nusu na yeye abaki na nusu. Magu katufanya tuwe tunajikiria mara mbimbili kushikiana hela
Hapana bhanaaNikikupa wewe wambea watasema mengine acha ajr nimpe mwenyewe