Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mungu ni mwema mama niko salama!!!! Nakupenda mimi mamaMarahaba mpendwa wangu za uzima Love you![]()
![]()
Mungu ni mwema mama niko salama!!!! Nakupenda mimi mamaMarahaba mpendwa wangu za uzima Love you![]()
![]()
Mama mchungaji asante.ISAYA 41
6.Wakasaidiana ,kila mtu na mwenzake ,kila mtu akamwambia ndugu yake UWE NA MOYO MKUU.
ASANTE BABA KWA NENO LA ASUBUHI TUFUNDISHE KUWAPENDA WENZETU NA KUWATIA MOYO KATIKA ULIMWENGU HUU WENYE CHANGAMOTO NYINGI.....
SIKU NJEMA MAKAPUKU..NAWAPENDA MJUE![]()
![]()
![]()
MUWE NA MOYO MKUU...
![]()
Amina mama mchuchu.Waaao..a father,a husband,a friend,a companion,a helper to my daughter wonderfully made by God![]()
![]()
![]()
Asante mama we love u tooISAYA 41
6.Wakasaidiana ,kila mtu na mwenzake ,kila mtu akamwambia ndugu yake UWE NA MOYO MKUU.
ASANTE BABA KWA NENO LA ASUBUHI TUFUNDISHE KUWAPENDA WENZETU NA KUWATIA MOYO KATIKA ULIMWENGU HUU WENYE CHANGAMOTO NYINGI.....
SIKU NJEMA MAKAPUKU..NAWAPENDA MJUE![]()
![]()
![]()
MUWE NA MOYO MKUU...
![]()
Morning SakayoShkamo mamy
Mahaba ngalagaze TBabe...
Nimekutengea maji bafuni tayari
Mahaba nifinyange..Mahaba ngalagaze T
Morning TumooMorning Sakayo
Amina mamaISAYA 41
6.Wakasaidiana ,kila mtu na mwenzake ,kila mtu akamwambia ndugu yake UWE NA MOYO MKUU.
ASANTE BABA KWA NENO LA ASUBUHI TUFUNDISHE KUWAPENDA WENZETU NA KUWATIA MOYO KATIKA ULIMWENGU HUU WENYE CHANGAMOTO NYINGI.....
SIKU NJEMA MAKAPUKU..NAWAPENDA MJUE![]()
![]()
![]()
MUWE NA MOYO MKUU...
![]()
Hahahaaaa...shululu asante sana kwa magazeti.
Asante BlessedHope kuanzisha furahiday hii kwa sala na nukuu za biblia.
Tuwe na Ijumaa njema Makapuku wote.
,.afu Tumosa jana umeniita 'mkuu' , nilikuangalia tu, nikajua labda ulikuwa kwenye promotion ya bia mpya. Iwe na furahiday njema
Mahaba nifinyange..
Trancend upo tabora.!?Wakuu.
Usiku mwema.
Nishafika........ebhana, ulifika salama msibani? Au nimechelewa kuuliza?
Hapana mkuu.Trancend upo tabora.!?
Hahahaaaa...
Eti alikuita "mkuu"
Mgawe hata kwa senti mbili..Nakugawa bure![]()
![]()
![]()
heshima yako blesses!AMINAUBARIKIWE