Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
...aunty wacha tu, leo hata mimi nimejishangaa yaani maneno hata ishirini hayafiki, nitayahesabu nijue yako mangapi. ujue nini, leo nimefanya yangu vizuri tu ila kuna shemeji yake na shetani tunafanya naye kazi sasa kaniletea za kuleta nami nikamwambia usidanganywe na macho yangu ya makengeza ukadhani sikuangalii unayonifanyia, basi tukabadilishana maneno mikono nimeitunza mfukoni maana hela zangu ndo inabidi nizilinde. mwisho kabisa kufupisha tukaelewana kiutu uzima na akaamini kabisa kumbe makengeza si ugonjwa, unaona tu bila shida hata kama unaweza kuwachanganya ukadhani unawaangalia kumbe huwaangalii wao.
Umeelewa sasa?
BH yuko wapi?
...ajiue wapi? Namjua mjomba wangu mimi, wakishazika tu kesho anapeleka taarifa bomani ya kufunga ndoa. Anko wangu ni bingwa wa kuyatia majaribu ili asiingie majaribuni
....akichoka kula papa unampa nguru au unamgeuza vegetarian unamchumia mboga mboga?
...kwanza sijui nimeandika nini, hivi mnapeana nini?
Mi Niko poa tumu hali gani wapendwa
Nipo Mimi apaaMpo ninyi watu?
mbona wanasema kulikuwa na kikao cha dharura,kumbe yamegoma poti,naomba yakutane na simba mnyama yakiwa bado kwenye mgomo tumgonge mtu 5 tena
Duuu
Bomu la nyuklia ni bomu baya mno
Ndilo bomu linaloongoza kuwa na mlipuko mkubwa kuliko mabomu mengine
Sote tunakumbuka kilichotokea katika mji wa hiroshima Japani wakati Wamarekani walipolitumia
Mpaka leo Wajapani hawataki kujiingiza katika vita kabisa na kama taifa walisaini mkataba wa kutoiingiza nchi katika vita tangu wakati huo
TumooooTuko poaaa
Nambie naona umejtawala mwenyewe full kula viporoTumoooo
MTU na love wAkeeGood evening my love
OK vizuriNdio wapo
Hata sijui yuko wap?eeeeh!!! hongereni Bitoz umemficha wapi
Ndio cha majuziiiiKiporo hiki
doh kasalimika kweli?Hata sijui yuko wap?
Kwenye ubora wakeeMamaa viporo