Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shemeji yangu mzima?
Hopefully amaizing shemeji yako atakuwa mzima nimesafiri kidogo niko mbali na hme kwa siku 2 sasa, Nimewasiliana naye kasema yupo poa sana japo anaogopa tu kulala mwenyewe usiku akaniomba kama kuna Shemeji yake yeyote ninae muamin nimwambie aende akampe ulinzi usiku..Nawaza ni nani ataweza kuwa mwaminifu?
 
Kwani shemeji yangu sio jasiri wa kulala peke kweli mpaka sasa duuuh
 
Hopefully amaizing shemeji yako atakuwa mzima nimesafiri kidogo niko mbali na hme kwa siku 2 sasa, Nimewasiliana naye kasema yupo poa sana japo anaogopa tu kulala mwenyewe usiku akaniomba kama kuna Shemeji yake yeyote ninae muamin nimwambie aende akampe ulinzi usiku..Nawaza ni nani ataweza kuwa mwaminifu?
Mkuu umeadimika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom