Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Shida nini kaka.Ni mbaya asee, niaje kwako braza.
Shida nini kaka.Ni mbaya asee, niaje kwako braza.
Asante braza, sirudii tena. Siku yangu imekuwa mbaya sana kwa kweli, sikutegemea kama ntakutana na kitu kama hicho.EMMYGUY na aggyjay poleni sana kwa misukosuko ila natumai bado mnapendana....
_____No bifu please___
Nimeipenda hiyo ya pacha kuzaa pacha.![]()
Pacha kaoa pacha wamezaa pacha.
Usijali brother hayo mambo ya kawaida....Asante braza, sirudii tena. Siku yangu imekuwa mbaya sana kwa kweli, sikutegemea kama ntakutana na kitu kama hicho.
Mambo shem!Yeah! Mpe hi miss Jimena.
Hahaha hakika tumekuwa ndg kiaina, punde unapokutana na kauli tata inaleta maumivu kama vile mko pamoja...ooh hapa ni nyumbani/kijiweni kwetu..upendo na udumuAsante braza, sirudii tena. Siku yangu imekuwa mbaya sana kwa kweli, sikutegemea kama ntakutana na kitu kama hicho.
Nilimwambia jimena afanye mpango nimpatie mapacha akagoma.Nimeipenda hiyo ya pacha kuzaa pacha.
Aggy atakuwa anakumis piaNiko hapa braza, akili imechoka tu.
Pole brother.Niko hapa braza, akili imechoka tu.
Sikuwahi kufikiria kama ingeweza kuleta tension kubwa kiasi kile. Mpaka nimetamani kujiondoa Makapuku team niwe member wa kawaida tu, maana hata raisi wangu alitamka eti nimekosea. Sidhani kwa kila mtu ambaye huwa anacomment matani hapa jf huwa amesema kweli.Usijali brother hayo mambo ya kawaida....
Mimi pia naamini hivyo.Aggy atakuwa anakumis pia
Powaa shemMambo shem!
Patience123 aliwahi kuniumiza utadhani ni jambo la kweli kumbe utani, pale aliponiambia hanitaki tena, cmjui na hanijui, but tulizoeana kiutani vile, aliniharibia siku kiasi aliponiambia ckutaki popote alipo alijue hili..Asante braza, sirudii tena. Siku yangu imekuwa mbaya sana kwa kweli, sikutegemea kama ntakutana na kitu kama hicho.
Brother hata usiwe na wasiwasi kukoseana ni jambo la kawaida kwa binadamu...Sikuwahi kufikiria kama ingeweza kuleta tension kubwa kiasi kile. Mpaka nimetamani kujiondoa Makapuku team niwe member wa kawaida tu, maana hata raisi wangu alitamka eti nimekosea. Sidhani kwa kila mtu ambaye huwa anacomment matani hapa jf huwa amesema kweli.
Mbaya zaidi nimekuta mdada amepost kwa kuniquote amenena kwa jazba kweli, niliishiwa pozi kaka.
Napenda unapojenga hoja ya kuimarisha umoja baada ya kuubomoa, hapa kuna majitu yenye vipaji vya kucheza tamthiliaBrother hata usiwe na wasiwasi kukoseana ni jambo la kawaida kwa binadamu...
Kikubwa ni kuombana msamaha na kusameheana tu.
Naamini aggyjay amekusamehe na mambo yameisha....
Pole sana brother tuko pamoja.
*________ONE LOVE____*
Ni kweli kaka.Hahaha hakika tumekuwa ndg kiaina, punde unapokutana na kauli tata inaleta maumivu kama vile mko pamoja...ooh hapa ni nyumbani/kijiweni kwetu..upendo na udumu
Hahahahaha uwiiiii usitake ncheke kaka, hebu njoo pm kakaSikuwahi kufikiria kama ingeweza kuleta tension kubwa kiasi kile. Mpaka nimetamani kujiondoa Makapuku team niwe member wa kawaida tu, maana hata raisi wangu alitamka eti nimekosea. Sidhani kwa kila mtu ambaye huwa anacomment matani hapa jf huwa amesema kweli.
Mbaya zaidi nimekuta mdada amepost kwa kuniquote amenena kwa jazba kweli, niliishiwa pozi kaka.
Anadai kwao hawana uwezo wa kuzaa mapacha.Nilimwambia jimena afanye mpango nimpatie mapacha akagoma.