EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Sawa kaka.Hahahahaha uwiiiii usitake ncheke kaka, hebu njoo pm kaka
Sawa kaka.Hahahahaha uwiiiii usitake ncheke kaka, hebu njoo pm kaka
Pole. Samehe na sahau kisha songa mbele.Asante braza, sirudii tena. Siku yangu imekuwa mbaya sana kwa kweli, sikutegemea kama ntakutana na kitu kama hicho.
Salamu zimenifikia wifi yangu wa nguvuYeah! Mpe hi miss Jimena.
Simtaki huyo youngbloodAnadai kwao hawana uwezo wa kuzaa mapacha.
Take it easy........ Next time usitoke nje ya mstari hata kama ni utani na kila kitu kitakuwa sawaSikuwahi kufikiria kama ingeweza kuleta tension kubwa kiasi kile. Mpaka nimetamani kujiondoa Makapuku team niwe member wa kawaida tu, maana hata raisi wangu alitamka eti nimekosea. Sidhani kwa kila mtu ambaye huwa anacomment matani hapa jf huwa amesema kweli.
Mbaya zaidi nimekuta mdada amepost kwa kuniquote amenena kwa jazba kweli, niliishiwa pozi kaka.
Si yameishaSikuwahi kufikiria kama ingeweza kuleta tension kubwa kiasi kile. Mpaka nimetamani kujiondoa Makapuku team niwe member wa kawaida tu, maana hata raisi wangu alitamka eti nimekosea. Sidhani kwa kila mtu ambaye huwa anacomment matani hapa jf huwa amesema kweli.
Mbaya zaidi nimekuta mdada amepost kwa kuniquote amenena kwa jazba kweli, niliishiwa pozi kaka.
Usijali brother bado tuko pamoja.....The only Punje dah namis mavitu ya huku sema ndo ivo mambo mingiiiii
Huyu jamaa kwani ni nani haswa.!....................................
JF members waliofanikisha walichotaka 2016.!
..........................................
Huyu jamaa mzushi eti kashiriki kuanzisha Makapuku Forum
Kick zinatafutwa kwa nguvu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........,......

dawa ni kuukaushia tu uzi wake....................................
JF members waliofanikisha walichotaka 2016.!
..........................................
Huyu jamaa mzushi eti kashiriki kuanzisha Makapuku Forum
Kick zinatafutwa kwa nguvu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........,......
Patience123 aliwahi kuniumiza utadhani ni jambo la kweli kumbe utani, pale aliponiambia hanitaki tena, cmjui na hanijui, but tulizoeana kiutani vile, aliniharibia siku kiasi aliponiambia ckutaki popote alipo alijue hili..
Sasa ni zamu ya Emmyguy naye kaumizwa aana na Aggyjay...japo najua leo itakuwa story ya kusameheana na kurudiana..huu ndio mwendelezo wetu wa kapu...for..

Yes!.dawa ni kuukaushia tu uzi wake
Kaandika fresh zen kamalizia kwa kuharibu et aneshiriki kuanzisha KF wkt huku hana ht post 1Huyu jamaa kwani ni nani haswa.!![]()
![]()
![]()
Brother vipi.
Vipi mrembo wako mpya asemaje!The only Punje dah namis mavitu ya huku sema ndo ivo mambo mingiiiii