shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante shemela, uwe na jioni njemaNakusalimia tu mimi shemela

Binamu shikamoo.....kuna jipya?
Muziki utakujia hivi punde
Ongeza jamaan ni wewe tuNdio unataka niongeze Idadi ya quotes?
Nyagei
Na kwako shemelaAsante shemela, uwe na jioni njema
Ahsante hapo ndipo nakupendea shem waneOngeza jamaan ni wewe tu
Binamu shikamoo
Binamu santeeeeeMuziki: Utanashati Huficha Ufukara
Niaje Kapuku mheshimika, naamini umekuwa na siku nzuri kabisa, ujue huu mwezi ni mwezi wa kipekee, well, upekee wake ni kwa sababu ni robo ya mwisho ya mwaka 2017. Mmmh, si mchezo yaani mwaka na mwisho wake ndo tunautafuta. Utakubaliana nami kuwa mengi yametokea, mazuri na yenye kufisha moyo ila yote kwa yote, kwa wewe kuwepo hapa basi wengi tunafuraha sana.
Kuna tofauti kubwa sana, ndiyo, kubwa tu na wengi hudhani kuwa mtanashati basi ni lazima uwe na mavumba ya kununua pamba na unyunyu, la. Si kweli ni kujipanga tu, jeans zako mbili, moja nyeusi nyingine ya khaki na mashati matano, Tshirts tatu na makobazi, unafua kila wiki. Unabadilisha shati tu, ujue watu huwa hawaangalii umevaa suruali gani bali shati pekee yake. Ukibadili shati kila siku utaonekana una viwalo vya kufa mtu.
Muziki sasa, kuwa Kapuku haimaanishi wewe ni fukara, ufukara ni umaskini uliopitiliza, unakuwa huna 'access to information', huna hela na huwezi kufanya maamuzi yoyte ya maana. Kuwa kapuku ni suala la muda tu maana unakuwa na akili timamu, mwenye access ya yote mazuri hata kama unaishia kuyaona tu na si kuyamiliki. Ujue nimekupa mbinu za kuwa mtanashati japokuwa kuwa Kapuku hakumaanishi usiwe mtanashati.

We quote tuuuu shemela mpaka uchokeAhsante hapo ndipo nakupendea shem wane
Nyagei
Muziki: Utanashati Huficha Ufukara

Marahaba aunty yangu Habari za kushinda?
Hivi wanaodhani wewe na anko wangu mnaigiza hawaamini nini? Itabidi tufanye utaratibu tuwaunganishe na watu wasiojulikana

Ahahahhhh shemela shululu ujumbe ukufikie popote ulipoMarahaba aunty yangu Habari za kushinda?
Hivi wanaodhani wewe na anko wangu mnaigiza hawaamini nini? Itabidi tufanye utaratibu tuwaunganishe na watu wasiojulikana
Karibu
Nyagei
Mtaasisi mambo veepee bhana naona Arsenal alipochezea nne ukapotea kabisa. Anyway aliyewafunga alilipwa tano pia
BTW, kwa kuwa ulikuwa haupo naamini huna taarifa nimenunua Samsung Galaxy emoji zimejaa😀

Ndyo boss wangu wwMh nishakuwa boss tena!![]()