Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Akijifunguaa shem wako lazima tuendee tenaAisee, hivi lushoto unaenda lini
Akijifunguaa shem wako lazima tuendee tenaAisee, hivi lushoto unaenda lini
Nilikukataza nnAsante shem kwa kunielewa
Yaaaan wewe sijuiii nikupe tusiii gan...huwez nichezea akili zangu
Nilikukataza nn
Baba D jamaan mbona sijafanya vile ulivyonikataza tulikua tunaongea tu
Baba D achana nae huyo ana majungu sana hapo ukiona hivyo kuna kitu anataka kuongea kwani ukienda lazima utoe taarifa mbona ye alitekwa huko hakuna aliyemuagaAkijifunguaa shem wako lazima tuendee tena
Nini kunywa hadi kuipika najuaUlishawahi kunywa shujaa ?
Mh nishakuwa boss tena!Yaani hiyo huwa ni kawaida kabisa boss

Hahaha pole sanaWanaudhiii mod kichizi toka may nawafuatilia kimya, ila kuwaomba niingie jukwaa la wakubwa haikuchukua hata siku tatu
HelloKwahiyo bada ya lile bango ndio wakakubali mbona nanyupu aliweka jana bango leo kabadilishiwa kila mtu na bahati yake
Binamuuuu nakuona unakenua tuuuu
Mwendo wa kupambana kila mtu kwa uwezo wakee![]()
Baba D jamaan mbona sijafanya vile ulivyonikataza tulikua tunaongea tu
Huyo mke wa binamu yangu obe sergio ndio mana mwanzo nilikuuliza ni mkeo

Tell meMkuu milima haikutani binadamu ukutana leo nimeamini
Hello
Nyagei
hi shem wane
Atakwambia umeeditSorry wife kama nimekosea kutoa siri
Mkuu ni kweli mm na cheupe wangu tumekutana jf ila mpaka sasa nina familia nae ...japo maisha yetu ya kf hatuwez kuyaacha make ndo yalitukutanisha ....kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu kwa sababu ...shunie ni familia moja na mm ...mengi yanakuja na mtayajua
Inshort hatupendi kuwa mbali na maisha tuliyozoea hapa kapuku...
Utani ni sehemu ya maisha yetu...
Soon naingia home![]()
Ukimaliza kusoma naifuta




ebu achana nae shemela shululuYaaaan wewe sijuiii nikupe tusiii gan...huwez nichezea akili zangu

Msalimie sana...
Aisee, hivi lushoto unaenda lini
Nahisi hata ukawa hela huko pm shunie hawezi kuja...
![]()
Aisee, unakosa mengi huko pm
Asante shem kwa kunielewa
Basiìiiiii....
Nimeelewa shem.
Hiyo ni sababu kuu kwa nini haumwamini mpaka kufikia hivyo? Kama mmefikia hapo mlipo kwa nini haumwamini
Kesi ni kivuli?
Kivuliiii![]()
Shujaaa ndio nini mpendwa wa binamuNini kunywa hadi kuipika najua
Naisubiria kwa hamu nyimbo yako binamu obe aniwekee kutoka you tubeBinamuuuu nakuona unakenua tuuuu