Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Safi sana mkuu kwa hatua uliyopiga ya kumiliki GalaxyMtaasisi mambo veepee bhana naona Arsenal alipochezea nne ukapotea kabisa. Anyway aliyewafunga alilipwa tano pia
BTW, kwa kuwa ulikuwa haupo naamini huna taarifa nimenunua Samsung Galaxy emoji zimejaa😀
Naona unataka kujenga picha ya mimi kuwa na mlengo mmoja na bibie Clkey na mwenzake shululu
Mimi ni MUFC die hard
Nyagei
