Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Miss u too shemMiss you shem
Miss u too shemMiss you shem
Poa poa aseeMzima lakini?
Asante amaizing kwa kunielewa!Pole mamy
Take it easy.
EMMYGUY Kaka angu naomba uuelewe huu ujumbe na muimalize hii issue kwa amani
Ni bora mambo ya ukapuku yaishie humu humu ndani
Stay blessed
" LeT LoVe LeAd "
Namsamehe bure![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa kavuka mipaka
Kweli ni tatizo
Kimsingi ya huku yaishie huku
Ya PM yaishie PM
Tupunguze ushamba
It's funny not ugomvigomvi
Jamaa kaharibu
Msamehe
...,..................
Source ni brain yake lol.... Wonders shall never end..........................................
20 most Influential JF members 2016
...........................................
Angalieni KITUKO ...bila hata aibu mtu anasema Top 20 member wakali halafu hakuna ht kapuku si ni kichekesho?
Huwezi taja japo TOP 5 bila kapukuz......waache wajifariji kwa kujitajataja
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........................
Tupo mkuu, ila sasa muda wako mkuu ni wa hatari
Ndio nmefumba jicho moja..... Moja napitia comments za Emmguy....Wewe hapo umeshalala?
Wakongwe hawaishiwi vitukoSource ni brain yake lol.... Wonders shall never end
Jana mambo yalikuwa mengi nikajikuta usingizi nao unanizidi ikabidi niuruhusuRatiba imekaa vibaya Jimena.
Ila jana nikashangaa kukuta umelala.
Peace and loveBest aggyjay sikujua kama utachukulia serious kiasi kile, labda niseme ni matani tu kuzidi. Hata nilivyopost kule kwangu niliichukulia kama only joking, nsamehe kama ntakuwa nimekukwaza.
Mpaka nimeogopa nilikuta umetuma hapa ujumbe wako, nimepata aibu kwa kuhisi kama nimedharirika kwa kuonekana nimekumention kwa ile post. Hata tangu nimejiunga hapa jf sijawahi kumfata PM mwanamke yeyote, maana mie ni mtu ninayejitambua na niko na familia yangu hivyo siwezi hata siku moja kuidhalilisha familia yangu.
Nisamehe bure mamaa aggyjay, na wala sijadhamiria. Mimi siko hivyo kama ulivyodhani, na wewe ni mtu wa kwanza kumkwaza hapa jf tangu nimejiunga sijawahi kuona mtu kanitusi wala kunisemea vibaya.
Pole kwa yaliyokukuta huko nyuma, amini kwamba hiyo ni mitihani ya kidunia. Muombe Mungu atakusaidia.
Yameisha amani itawale dadaPeace and love
Kwasasa wanapumulia pale kwenye mapost mengi tu......Wakongwe hawaishiwi vituko
Wanatajana kwa mabavu
![]()
...................
Habari ya wewe bossOi oi oi habari za asubuhi jamani?