Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Uzi ulifungwa ulikua chit chat hapa mods walikua wana kazi ya kufuta comments tuNaomba link ya huo uzi eeh
Uzi ulifungwa ulikua chit chat hapa mods walikua wana kazi ya kufuta comments tuNaomba link ya huo uzi eeh
Kwan si tunakuwa woteee lakin ....Sawa baba d utatumia yangu lakini unajuwa nimekuzoea kukuona jf

Ili mje kupewa ban woteUnitag na mimi![]()
Kwan si tunakuwa woteee lakin ....
Alafuu hii tabia ya kuwa chumban mm seburen alafu wote tupo jf kama walio maili mia elfu ikome![]()
![]()
hapo unataka kumaanisha nini baba d ebu naomba password yako ya jf 

Baby wewe usinambie huijuiii![]()
![]()
hapo unataka kumaanisha nini baba d ebu naomba password yako ya jf
![]()
Ili mje kupewa ban wote
majuzi mmu kwenye uzi mmoja kuhusu kupenda I'd fake na avatar kuna mtu kasema napenda sana avatar za shunie lijitu lilipotokea likamquote shunie dume wewe nikamwambia ni kweli mkuu mm dume jinsia yangu si uliiona ngoja nikuitie huyu akwambie jinsia yangu nitakamtag baba d akaniambia kama zote I'd zako nani anajua nimecheka tu nikaachana nae
sikuona alafu tag mbona sionag

Ushulutumosa waachiee waoo...
Hahahaa...Ili mje kupewa ban wote
majuzi mmu kwenye uzi mmoja kuhusu kupenda I'd fake na avatar kuna mtu kasema napenda sana avatar za shunie lijitu lilipotokea likamquote shunie dume wewe nikamwambia ni kweli mkuu mm dume jinsia yangu si uliiona ngoja nikuitie huyu akwambie jinsia yangu nitakamtag baba d akaniambia kama zote I'd zako nani anajua nimecheka tu nikaachana nae
Eeeeeh!![]()
![]()
hapo unataka kumaanisha nini baba d ebu naomba password yako ya jf
![]()

Wakati mwingine bora asikutag..![]()
![]()
![]()
sikuona alafu tag mbona sionag
Aisee...Uzi ulifungwa ulikua chit chat hapa mods walikua wana kazi ya kufuta comments tu
Mmh..oyoooo kashata moja sh 100 unaletewa mpaka ulipo![]()
Mniungishee![]()
![]()
KweliiWakati mwingine bora asikutag..
Its saves a lot.
Na kahawa vipiioyoooo kashata moja sh 100 unaletewa mpaka ulipo![]()
Mniungishee![]()
![]()
Nilikutag baba d yaan anaongea kwa kujiamini kabisa shunie dume nimebaki nacheka tu yule mtu akamwambia kama dume au vipii me napenda avatar zake tu jinsia yake atajua nayo mwenyewe![]()
![]()
![]()
sikuona alafu tag mbona sionag
Jf kuna mamboNilikutag baba d yaan anaongea kwa kujiamini kabisa shunie dume nimebaki nacheka tu yule mtu akamwambia kama dume au vipii me napenda avatar zake tu jinsia yake atajua nayo mwenyewe
Kahawa hata leo nimekunywaNa kahawa vipii
Ndio mana huwa simtag halaf yanavyotokea anakuwa hayupo online vizuri baba d sio mtembeaji namjua alivyo atawatukana mwisho apate banWakati mwingine bora asikutag..
Its saves a lot.