Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Khaa na njugumawe zako hayo maombi yapite hiviiiii sili njugumaweMmh wee kila chakula kinakushinda he..!!! Unahitaji maombi ya "tb joshua"
Sasa kahawa uisindikize na kashata wee utamu kunogaaNa mm napenda kahawa nisiwe mnafiki
Hao haoMmh..
Zile huwa siziamini kabisa! Sijawahi kunywa hizo
Hao jamaa ndio huwa wanatembeza kashata eeh?
[emoji134] [emoji134]Mwambieni sasa awawekee
Utamu kama wa maniii ya binamu ukiyabugia au ??Sasa kahawa uisindikize na kashata wee utamu kunogaa
Suwekiii nikiweka kapuku itakuwa kijiwe cha kahawaBaba D unacheka nini jaman si mnapenda kahawa mana kashata mwenzie kahawa awawekee tu mkunywe
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Utamu kama wa maniii ya binamu ukiyabugia au ??
Weka buanaSuwekiii nikiweka kapuku itakuwa kijiwe cha kahawa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Asante husna
[emoji1] [emoji1] [emoji1] basi umeshinda mkuuWewe ulijuaga utamu wa sosoji kabla ya kuila?
Dawaaa hiyoooooo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Zijaribu sikuYes..
Nazionaga tuu.
I will try one dayZijaribu siku
[emoji4] [emoji4] [emoji4] siku ukimtembelea binamu yako nakupigia njugumawe na kashataKhaa na njugumawe zako hayo maombi yapite hiviiiii sili njugumawe
Aiseee nitashinda na njaa yangu tena bora kashata kidogo nakula kula hizo njugumawe hapana jaman ile harufu yake[emoji4] [emoji4] [emoji4] siku ukimtembelea binamu yako nakupigia njugumawe na kashata
Baba D jaman [emoji134] [emoji134] [emoji134]Dawaaa hiyoooooo
Weeee koromeeeeooooo
Nimekosa emojii zangu