Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha tu jf ni changamoto kisa tumemsumbua kwenye interview yake akaja na I'd yake ya kiume shunie kanitapeli hela ya nauli hajatokea na picha juu kaweka za huyo shunie za kutoka kijijini kwao peramiho woiiii acha niendelee tu kufunga pm
Naomba link ya huo uzi eeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom