Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Dada wapi hujanielewaKwahiyo kaka me ndio tumosa au ujue sijakuelewa unataka kunivunjia ndoa au
Dada wapi hujanielewaKwahiyo kaka me ndio tumosa au ujue sijakuelewa unataka kunivunjia ndoa au
Najua uliniambia shemela[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio kwetu
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Muulize mumewe jamaan kaka msinivunjie ndoa mie ni mke wa Lee ni mke wa Baba DDada wapi hujanielewa
EwaaaaaaaNajua uliniambia shemela
Sawa dadaMuulize mumewe jamaan kaka msinivunjie ndoa mie ni mke wa Lee ni mke wa Baba D
Asante kwa kunielewa kaka ukisababisha niachike nakufata huko ulipoSawa dada
Mana haiwezekani unajua me mke wa Lee unaniletea mambo za shululu ndio mume wangu hivi kaka nia yako ilikua nini jamanDada utaweza kazi za shamba?
Nisamehe bureMana haiwezekani unajua me mke wa Lee unaniletea mambo za shululu ndio mume wangu hivi kaka nia yako ilikua nini jaman
Asantee mkuuAsubuhi njema makapuku wote
NiajeeeAsante kwa magazeti shemeji
Mzima shemeji
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Duh, pole, aunty nadhani uko nchi ya kigeni ndo maana clip haipatikani
Ameni mama anguuu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji524] Kweli jeuri humpumbaza mwenye hekima na rushwa huuharibu ufahamu
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi
Usifanye haraka kukasirika mana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu [emoji524]
MITHALI 7:7-9
MUWE NA JUMAPILI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
Safi mkuu za huko ulikoNiajeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwahiyo kaka me ndio tumosa au ujue sijakuelewa unataka kunivunjia ndoa au
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mana haiwezekani unajua me mke wa Lee unaniletea mambo za shululu ndio mume wangu hivi kaka nia yako ilikua nini jaman
Kiherehere na kiroho papoNimeiweka kwa KF wote, maana ile ya Obe iligoma kufunguka kwako shemela, nikaona nikupoze machungu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Embu nitolee jau huko, mi nakupa habari njema wewe badala unipongeze unanipa pole.
Kwenda huko
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Binamu obe anaogopa naye vitu visivyojulikana
Hahaha, bado sijaoa bhnaAiseee kwahiyo una mke mtumishi au