Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na mtoto anakuja kweli ujue kumbuka ya Sara na ibrahim


....ha ahhahaha, miaka ile walikuwa wanaishi miaka mingi kama idadi ya shanga za anko wangu 700, saaa hizi tunaishi miaka 70 tu na pweza sijui unga wa kongo mara paaap kitu kinapotea kabisa kinabakia kizizi tu
 
Katoto furani hivi kanaimba, mimi nimeiona
....nafikiri anatatizo la MB, tuendelee kumuombea
Binamu nitake radhiiiiiii hivi ningekua na hilo tatizo ungeniona hapa
10663e7f21131bfacab6bde416eef788.jpg
 
....ha ahhahaha, miaka ile walikuwa wanaishi miaka mingi kama idadi ya shanga za anko wangu 700, saaa hizi tunaishi miaka 70 tu na pweza sijui unga wa kongo mara paaap kitu kinapotea kabisa kinabakia kizizi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko wako na hizo mamboooo tofautiiiii
 
*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*

To my wife

*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.

Mimi mumeo

Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.


[emoji1493] kama namuona binamu obeeeeee
 
[emoji524] Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu

Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu [emoji524]

MITHALI 2:6-7

MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI DAMU YA YESU IZIDI KUWALINDA [emoji7] [emoji120]
 
Back
Top Bottom