Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Kwemaa ni heriii?
Kwemaa ni heriii?
My love
Alienda kuhesabu shanga 1500Shemela alikuteka nani jaman
Acha urongo banaaNilikuwa lushoto shemela, network ilikuwa shida sana
Nani huyo?!Siku TZ wakifungua clinics za plastic surgery huyu kama ni mdau atakuwwa wakwanza kwenda kutengenezwa ili muonekano wake uendane na sauti yake.
Kwema mkuu Lee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Alienda kuhesabu shanga 1500
Ukweli ndio urongoAcha urongo banaa
Ujue we babe wa muhimu sana kwangu lazima nijal [emoji8][emoji8][emoji8]
Kwahiyo upo in love na hiyo emoji au sijaelewa mimiKama watu wengine wasemavyo kuwa mapenzi ni upofu, basi mie sioni chochote isipokuwa hio tuu
AiseeeZuriiiiii
[emoji57][emoji57][emoji57]My love
I miss you a lot[emoji4]
Ujue mpendwa wa binamu umeongea la muhimu sana [emoji848]Alienda kuhesabu shanga 1500
Mwambie na wewe Lee, shemela[emoji57][emoji57][emoji57]
Anasema aliaga eti au aliwaaga pm huko jamanAcha urongo banaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe hapo unajilaumu kutofukua viporoNani huyo?!
Kuhesabu shanga 1500 veeep shemela[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mungu azidi kukupigania jamaan
Soma toka mwanzo shemela halaf ujue mapenzi yetu sio sababu flani kafanya hivi au vile me na Lee tunaishi pamoja ujue tunalala kitanda kimoja shemela ujue ulinimiss kusikia naongea endelea tu kunichokoza na uchochezi wakoMwambie na wewe Lee, shemela