Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Ni kweli mie kibibi gagula kitu cha 55
...umri mzuri kabisa huu, hamna cha kusema 'baby sioni siku zangu, oh sijaona mwezi' yaani burudani kwenda mbele jua liwake, siku ikuche na mwezi uonekane
Ni kweli mie kibibi gagula kitu cha 55
Wee jiangaliee sana ....ngoja nimuheshimu binamu make nashindwa nikupe tusi ganNajuaaaa
Yeye MPE mchana Lee utampa usiku
Tunaonanaaàaa

Ndo maana saida aliimba wenye wivu wajinyongeeeHapana aisee siwezi hizo mambo nampa Lee tu
Simnyimi mtu jaman nampa baba d tu ndio anayestahili mpendwa wa binamu

Muziki: Wikend Mara Paaaap
Niaje Kapuku mheshimika, nakusalimu na kukuambia tu uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa kuwepo, usingekuwepo nisingekuwepo. Unaona bhana. Usidhani nimechelewa makusudically leo, la hasha, Jumamosi ya soka hii, nimeondoka home tangu mchana, asubuhi nilienda mazoezi kusaka hamu ya supu na bia. mchana ratiba za soka zikaanza.
Nipo home sasa nawaangalia Man U, sina mchecheto maana vijana wa Darajani pale London washafanya yao, no pressure ila gas ipo kwa Liverfive ha ahahaha, wamechezea mkono, yaani gwala a fist opening with love like roses ha ha ahaha.
Muziki sasa, nakaa nashika samsung Galaxy yangu mpya yenye cover (well, screen protector sijaweka-hivi ni muhimu eeeh?) kustream game online maana sikutaka kucheza game la Mountain Climb mara paaap, man u kachezea kimoko, na kabla Darly kimoko hajapiga gitaa si nikaona Marcus anasawazisha na dude la kikongo Rukaku likasakata mayenu nikaona iswe tabu ngoja nitupie muziki tufurahi pamoja.
Mapumziko mema kapuku mwenzangu. With Love from Obe
asante mpendwa km kawaida yako hukosagi kunivunja mbavu

Ewaaaaaa binamu kitu cha menopause...umri mzuri kabisa huu, hamna cha kusema 'baby sioni siku zangu, oh sijaona mwezi' yaani burudani kwenda mbele jua liwake, siku ikuche na mwezi uonekane

wala baba d wangu hapati sheeda nampa tuuu...umri mzuri kabisa huu, hamna cha kusema 'baby sioni siku zangu, oh sijaona mwezi' yaani burudani kwenda mbele jua liwake, siku ikuche na mwezi uonekane

Na watajinyonga baba d mpaka kufwa ujue
Ukimaliza nambieWee jiangaliee sana ....ngoja nimuheshimu binamu make nashindwa nikupe tusi gan
Shubaaaaaaaaaaamitiiiiiiiiiiiiiiiiiii kengeeeeeeeeechangudoaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa za weweAisee mambo vp
...oh, mbona langu nililipa, likabaki lako na teller Shamsa , wamenitumia text kusema nikujulishe maana simu yako umezima

Veeeee mbona video haiplay binamuMuziki: Wikend Mara Paaaap
Niaje Kapuku mheshimika, nakusalimu na kukuambia tu uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa kuwepo, usingekuwepo nisingekuwepo. Unaona bhana. Usidhani nimechelewa makusudically leo, la hasha, Jumamosi ya soka hii, nimeondoka home tangu mchana, asubuhi nilienda mazoezi kusaka hamu ya supu na bia. mchana ratiba za soka zikaanza.
Nipo home sasa nawaangalia Man U, sina mchecheto maana vijana wa Darajani pale London washafanya yao, no pressure ila gas ipo kwa Liverfive ha ahahaha, wamechezea mkono, yaani gwala a fist opening with love like roses ha ha ahaha.
Muziki sasa, nakaa nashika samsung Galaxy yangu mpya yenye cover (well, screen protector sijaweka-hivi ni muhimu eeeh?) kustream game online maana sikutaka kucheza game la Mountain Climb mara paaap, man u kachezea kimoko, na kabla Darly kimoko hajapiga gitaa si nikaona Marcus anasawazisha na dude la kikongo Rukaku likasakata mayenu nikaona iswe tabu ngoja nitupie muziki tufurahi pamoja.
Mapumziko mema kapuku mwenzangu. With Love from Obe
Asante na niniii video hewa au![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
asante mpendwa km kawaida yako hukosagi kunivunja mbavu