Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Wikend Mara Paaaap

Niaje Kapuku mheshimika, nakusalimu na kukuambia tu uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa kuwepo, usingekuwepo nisingekuwepo. Unaona bhana. Usidhani nimechelewa makusudically leo, la hasha, Jumamosi ya soka hii, nimeondoka home tangu mchana, asubuhi nilienda mazoezi kusaka hamu ya supu na bia. mchana ratiba za soka zikaanza.

Nipo home sasa nawaangalia Man U, sina mchecheto maana vijana wa Darajani pale London washafanya yao, no pressure ila gas ipo kwa Liverfive ha ahahaha, wamechezea mkono, yaani gwala a fist opening with love like roses ha ha ahaha.

Muziki sasa, nakaa nashika samsung Galaxy yangu mpya yenye cover (well, screen protector sijaweka-hivi ni muhimu eeeh?) kustream game online maana sikutaka kucheza game la Mountain Climb mara paaap, man u kachezea kimoko, na kabla Darly kimoko hajapiga gitaa si nikaona Marcus anasawazisha na dude la kikongo Rukaku likasakata mayenu nikaona iswe tabu ngoja nitupie muziki tufurahi pamoja.

Mapumziko mema kapuku mwenzangu. With Love from Obe


Asante dj Obe kwa music
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom