Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asubuh njema wapendwa
1462422464926.jpg
 
Jamani wana kapuku naomba niwasilishe hili:
Kama mnavyojuag
hali Halisi kwamba humu wengi tunaigiza tu wala hatufauhamiani na hizi couple kwangu ni drama not my real life,sijui kwenu ni hivohivo??coz cmjui hata mmoja humu na hatujawahi hata kuonana, na mjue ya huku kapuku yaishie hukuhuku,but huyu kaka cjui anajiita emmyguy anavuka mpaka na kuja kunipostia kule kwenye thread za wakongwe na wengineo,silipendi hili!
We were acting here but mi huwa nshiriki kiuhalisia kwenye thread za wengine nje na hapa,nna maisha yangu halisi na ilitkea mda si mrefu mpenzi wangu akatafuta sababu zisizo na uzito na kuamua kuachana nami ghafla,nliumia na bado nna hasira ndani yangu dhidi ya wanaume ndo mana kwenye ile thread anayoimention kila mara huyu jamaa humu nlicomment kwa hasira,sasa anajistukia ni yeye sijui halafu ananijibu kule kwenye thread ya wakongwe "asante mama, kwaheri!
ana tatizo gan hyu mtu?
Pole mamy
Take it easy.
EMMYGUY Kaka angu naomba uuelewe huu ujumbe na muimalize hii issue kwa amani

Ni bora mambo ya ukapuku yaishie humu humu ndani

Stay blessed
" LeT LoVe LeAd "
 
Jamani wana kapuku naomba niwasilishe hili:
Kama mnavyojuag
hali Halisi kwamba humu wengi tunaigiza tu wala hatufauhamiani na hizi couple kwangu ni drama not my real life,sijui kwenu ni hivohivo??coz cmjui hata mmoja humu na hatujawahi hata kuonana, na mjue ya huku kapuku yaishie hukuhuku,but huyu kaka cjui anajiita emmyguy anavuka mpaka na kuja kunipostia kule kwenye thread za wakongwe na wengineo,silipendi hili!
We were acting here but mi huwa nshiriki kiuhalisia kwenye thread za wengine nje na hapa,nna maisha yangu halisi na ilitkea mda si mrefu mpenzi wangu akatafuta sababu zisizo na uzito na kuamua kuachana nami ghafla,nliumia na bado nna hasira ndani yangu dhidi ya wanaume ndo mana kwenye ile thread anayoimention kila mara huyu jamaa humu nlicomment kwa hasira,sasa anajistukia ni yeye sijui halafu ananijibu kule kwenye thread ya wakongwe "asante mama, kwaheri!
ana tatizo gan hyu mtu?

Jamaa kavuka mipaka
Kweli ni tatizo
Kimsingi ya huku yaishie huku
Ya PM yaishie PM
Tupunguze ushamba
It's funny not ugomvigomvi
Jamaa kaharibu
Msamehe

...,..................
 
Jamaa kavuka mipaka
Kweli ni tatizo
Kimsingi ya huku yaishie huku
Ya PM yaishie PM
Tupunguze ushamba
Its funny not ugomvigomvi
Jamaa kaharibu
Msamehe

...,..................
I second you Bitoz

Hapa tunafurahi tu pamoja na issue hizi ni za hapa hapa pia sio serious kiviiile na tukikutana huko kwingineko tunaheshimiana tu.
Peace and Love
Cc aggyjay na EMMYGUY
 
Kwanza jamaa aombe radhi
Halafu asemehewe
Km hataki........It's OK
Kila mtu na lwake
Tusipeane stress
............................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom