Jimena upo dadake!Hala Madrid
Dah nimewamis watu wa humu

Umeamua kutuletea Kijita chako hapa?mugumire abomu mwasibao muta
Ana ugonjwa wa kubeba mizigoUmeamua kutuletea Kijita chako hapa?
Mwasibao ndo nini sasa?
Jf haijawa ya kijita.
Nipo kaka, naimalisha ulinzi.Emmyguy naona upo wapita kwa kunyata
Tunashukuru kwa kutumiss, hata sisi tumemiss uwepo wako hapa jamvini.Dah nimewamis watu wa humu
hayyoungblood si kamuoa aggyjay au?
Ndio. Nataka youngblood awe Zuzu.Brother unataka tufanye hivi au?
Ndo hivyo sasa.
Aggy autesa moyo nini!,Nipo kaka, naimalisha ulinzi.
Hakuna hajaNdio. Nataka youngblood awe Zuzu.
Inaonekana jamaa yupo bar.Ana ugonjwa wa kubeba mizigo
Hamna kabisa bro, nshamtoa rohoni na ataendelea kuwa shem basi.Aggy autesa moyo nini!,