Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Nimeanguka kwa hizo kopa mbili za rangi nyekunduImefanyaje tena jaman hiyo emoj
Nimeanguka kwa hizo kopa mbili za rangi nyekunduImefanyaje tena jaman hiyo emoj
Umetumwaa ???Shikamoo Baba D![]()
Kwema kabisaaMambo yanaenda?
Kwahiyo Tetra umeona hizo kopa mbili tu neno wala huna habari naloNimeanguka kwa hizo kopa mbili za rangi nyekundu
Nani wa kunituma jaman me nimekusalimia tuUmetumwaa ???
Jichaguliee tusiiiNani wa kunituma jaman me nimekusalimia tu
Nikuchaguliee ninisitakiiii sichagui
Mbona una maswali ya kimtego hivyo Baba DNikuchaguliee nini
We semaaMbona una maswali ya kimtego hivyo Baba D
Niliona ndio maana nikamalizia na barikiwa. Soma vizuriKwahiyo Tetra umeona hizo kopa mbili tu neno wala huna habari nalo
Ebu ngoja kwanza ni nini hilo la kuchagua siku ya kukaa naloWe semaa
Na je unapenda la kukaa nalo wiki mwezi au milele??
Hapo sawa TetraNiliona ndio maana nikamalizia na barikiwa. Soma vizuri
Ukiwa mzalendo tanzania unaweza kufa kwa kihoroHivi team wazalendo humu kapuku hakunaga eenh mana naona team yenu imefunga
Ila shunie una visa,si ungeweka koppa moja kubwa tu lingetosha kuelezea ujumbe wwakoHapo sawa Tetra
TusiiiEbu ngoja kwanza ni nini hilo la kuchagua siku ya kukaa nalo
IpiiiHivi team wazalendo humu kapuku hakunaga eenh mana naona team yenu imefunga
Mama DBaba jj