shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Sweetiepie majukumu ya kazi yanamfanya ashindwe kuingia jfSwitiepaia alikujaga siku moja akasema ataendelea kuwepo ,af akapotea ,,ndo mpaka wa leo hajarudi tena

Duh, mpe poleSweetiepie majukumu ya kazi yanamfanya ashindwe kuingia jf
Nilipotea kwa muda kidogo....
Amen[emoji524] Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa, Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana, Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu, shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [emoji524]
MITHALI 12:1-3
NAWASALIMIA TU MIMI MBARIKIWE SANA MUWE NA MCHANA ULIO MWEMA NA JMOSI NJEMA KWENU [emoji7] [emoji120]
NAWE PIA[emoji524] Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa, Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana, Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu, shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [emoji524]
MITHALI 12:1-3
NAWASALIMIA TU MIMI MBARIKIWE SANA MUWE NA MCHANA ULIO MWEMA NA JMOSI NJEMA KWENU [emoji7] [emoji120]
Swali gumu...Mwanzo ulikua unatumia ID gani?
Swali gumu...
ila kipindi hicho wewe hukuwepo hapa...
OkMkuu mm nilikua nazurura tu hapa sichangii so wengi nawajua hapa
Emoj yene macho ya koppa mekundu, barikiwa pia[emoji524] Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa, Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana, Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu, shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [emoji524]
MITHALI 12:1-3
NAWASALIMIA TU MIMI MBARIKIWE SANA MUWE NA MCHANA ULIO MWEMA NA JMOSI NJEMA KWENU [emoji7] [emoji120]
Nzur mkuuZa mchana makapuku wenzangu!
Nzur mkuu
naona mnawatoa povu watu huko salama wakuu
Imefanyaje tena jaman hiyo emojEmoj yene macho ya koppa mekundu, barikiwa pia
Baba jjAmen
Asante sanaNAWE PIA
Shikamoo Baba D [emoji4]Nzur mkuu
Wapi??naona mnawatoa povu watu huko salama wakuu