Ni nzuri iasee, shemu mzima. MsalimieZa mwamko makapuku
Nawe piaNeema ya MUNGU iwe nasi siku ya leo.
Yupo mzima kabisa, zimefikaNi nzuri iasee, shemu mzima. Msalimie
Hasta La VistaYupo mzima kabisa, zimefika
Hasta LuegoNa makucha yake![]()
DJ sepetu
Hahahaha, jonax. Hivi umefikilia nini brazaMkuu shululu yuko wapi yule mpiga puli maarufu wa JF aka [HASHTAG]#kikofia[/HASHTAG]?
Nimemis sana jamaa yangu na dada yangu SweetiepieHahahaha, jonax. Hivi umefikilia nini braza
Kweli umewakumbuka
Dah,,,ngoja nimsake!Sijui alipotelea wapi aisee, ila yupo majukwaa mengine
Switiepaia alikujaga siku moja akasema ataendelea kuwepo ,af akapotea ,,ndo mpaka wa leo hajarudi tenaNimemis sana jamaa yangu na dada yangu Sweetiepie
Huwaonagi mitaa mingine ya jf?
Switiepaia alikujaga siku moja akasema ataendelea kuwepo ,af akapotea ,,ndo mpaka wa leo hajarudi tena
Nilipotea kwa muda kidogo....Huwaonagi mitaa mingine ya jf?