EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Mchungaj mi sikufungishwa ndoa na huyu msukuma...Na tabia za kibabe sipendi..Apite mbali![]()
![]()

........
....
Mchungaj mi sikufungishwa ndoa na huyu msukuma...Na tabia za kibabe sipendi..Apite mbali![]()
![]()

....
Asante kwa kuliona hilo braza, ila hata mke wangu mwenyewe ameshindwa kuwa na msimamo kama walio nao mashemeji zangu amaizing na lizziebettie.youngblood ni mfitinishi sana. Hapo najua roho yake imefurahia kuona watu wanaachana humu.
Ni kweli sana mzee wa Upako.Pamoja na hayo uje tu uwe mtii
Hata mbwa akila chakula chako hata kung'ata sembuse wewe+emmy mlifanya mengi na mara nyingi, mkikumbuka kimoja tu mtasameheana
Nimeona braza.Emmyguyumeona ee
Wee mwache tu.Endelea na mchezo wako wakugombanisha watu kijana IPO siku utalia

Ama kweli umdhaniae kumbe sie.Ulinituhumu kua mm ndo navunja ndoa na nilokujibu muda utasema, sasa umejionea muda umeongea bro
Salama Mkuu, aje aje kwako!kwema wandugu
Kumbe ndo wewe?nafia jmhuku JamForu![]()
Jimena hili ni tezi
Tezi dume?Hamna namna, ubingwa unarudi Janwani![]()
Full Time
:
![]()
Yanga ubingwa wetu
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Yaani nazidi kumshangaa huyu jamaa, hasa kwa uandikaji wake.Haendani kabisa na anachoandika.
Ama kweli.Sometimes vitambi vinakosega njia pa kuota, hasa hili jamaa lina kitambi tena smart halijui kuandika, point less, haijulikani anaongea na nani!
Duuh maisha bongo rahisi sana