shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haya sasa shemelaBaba D we si huwa unazikataakumbe unavalishwa huko 700
Haya sasa shemelaBaba D we si huwa unazikataakumbe unavalishwa huko 700
Nimeliona hilo siku hizi umebadilika hakuna kulia liaWoooiii
Mie kuna siku nazira mazimaaaa.... Na id nabadili
Kwan wewe mkuu ??Na wewe pia
Haya shemela, habari za sinza lakiniSijaamua tu mm sio wa kupelekwa kusomea mie shemela jaman
Baba D nani huyooopunguza machejo, mama mwenye nyumba ana masuala ya muhimu, utajikuta unalala sebuleni kama baiskeli ya mgeni
![]()

Nilijuaaa ...kwanza kaja mjiniii ananikwepaaa pesa zikiishaa anasingiziaa kuja kunitembeleaaNi binamu yako baba d
Niko hapa babeHunny swtiieee bongee mbonyeoo
AhahahhhJichekeee mama ....
Foleniiii njia imezibwaaa plz usilalee sanaaAhahhaha
Mara paaap sura kama wassiraWala sio hasira.... Nawaza tuu
EwaaaaaaaChibonge
Akikujibu nishitueHuyo B ni nani
Ntajuaa na mmnimecheka sana dada T ebu jitahidi kwenda studio kusafisha kivuli usitufanyie hivyo hizi zote ni hasira za kivuli
Utaniuzi ujue baba d binamu yako ndio kasema jaman ebu niambie ni kweli unazipendaWatuuu ganiii jamaniiii
Au nitekelezeee azimiooo la janaa
Nawe pia mkuuWakuu...
Usiku mwema
Nakupenda Mimi mama ake najma na naveenKuwa na Amani mdogo wangu
Siweziiii lilia mtu ambae hajali hisia zangu... Ilikuwa ni ujinga tuu ile....Nimeliona hilo siku hizi umebadilika hakuna kulia lia
Mm naona vivuliii mwishowee isijeee kuwa misukuleeeeMmmh hapana jaman baba d