Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimevumilia kivuli Shunie... Huku naona hongera kule naona shanga.... Khaaa jamanii mie nina moyoo wa nyama etiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana dada T ebu jitahidi kwenda studio kusafisha kivuli usitufanyie hivyo hizi zote ni hasira za kivuli
 
08a55bf680c3e7708f818fd92e96f7c4.gif


Mgeni ndo naingia kwa machejo.

Sent using Jamii Forums mobile app


punguza machejo, mama mwenye nyumba ana masuala ya muhimu, utajikuta unalala sebuleni kama baiskeli ya mgeni

285b39ad102baacb39a1d0584aee08d609db0c0a_hq.gif
 
Back
Top Bottom