Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Niliona T jaman na ulitetea sana hili swala me naona ni hasira za kivuli tu ebu safisha mtumieBora shem useme...
Hii mada nilishaifunga jana tena.
Niliona T jaman na ulitetea sana hili swala me naona ni hasira za kivuli tu ebu safisha mtumieBora shem useme...
Hii mada nilishaifunga jana tena.
Mfyuuuuuu sizitaki mbichi hiziLove you more hubby
Watu wabaya na walikuwa wanamshauriii husna etiii puchu sijuii puchuuu awapee wanaumaa ...nimegombana ila na yeye akawa haelewekii kama mvua za dar...
Etiii puchu ni nin si unajuaa anko wako wa 70
Naomba kujuaa ...kivuliii ni jina la mtu auYa Leo Kali acha nicheke tuhasira ya kivuli dada au
Sawa mume wangu mieee apaaTukalalle mke wangu....
Itabdi tu nikuvalie kilazima kumbe huko watu wanakuvaliaNani kasemaa jamaniii mm hapa mm
Nmekoseaaa sorryHuyo B ni nani
Na wewe piaWakuu...
Usiku mwema
Karibuuu
Ni binamu yako baba dSema ukweliii??
Umewaona eeehhUcnambie ndo mapacha wako hao
Mweeeenyeweeeeeeh in ringos voicecheupe wako kibonge wako
Karibuuuu
Usijali ShunieHapana jaman ujue we sio wa kufanya hivi dada jaman
AhahhahaNipoooo nipooooo ....nafikaa mda sio mrefuuu
Najuaa waendeleaa vyema na majiraniiii![]()
![]()
![]()
![]()
AsanteMambo yakoo poaaa ....namuona sakayo anazidii kupendezaaa
Na kwako TWakuu...
Usiku mwema
Ipiii hiyoooo...harufu ya wolper
Na wewe piaa mkuuWakuu...
Usiku mwema