Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Itikia tu leo ni lazima najua nimekupita sana kitu cha 55 utanifikia wapiiiiMarahaba shunie ila umenionea kuniamkia..
Itikia tu leo ni lazima najua nimekupita sana kitu cha 55 utanifikia wapiiiiMarahaba shunie ila umenionea kuniamkia..
Ila me nitakuwa nimelala lakiniSi tutakuwaa woteee
Za jioni nzuri shemela sijui wewe ila naomba uitikie shikamoo yangu jamanShemela za jioni shemela wangu
Kufanya nini ndio niniAnajua nafanya nini
Woiiiiii yaan humu kumbe watoto mmejaaMimi mwenyewe nina 21 yrs.. [emoji23][emoji23][emoji23]
haah we uoni ?Kwani tupo kwenye mashindano
Mmh [emoji134]Mungu atusamehe keshoooo.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa jf hiiIfike pahala......tutambuanee nani mkubwa nani mdogo make inauma sana mkubwa kumheshimu mdogo humu wakat mdogo hamueshimu ....
Tuwajuee form six leavers. ...mpaka wazee wa form form wanaosubiria advance hope hawapo
Akikujibu niite baba dUkimanisha sakayo anakubemendaa?
Sawa T na kweli we roho yakeMwambie Roho yake iko huku..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa jf hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anza ww sasa sio tunatania kumbe Unalingana na babu..
Ahahhhh T ujue kivuli hatujakisafisha bado
Wewe ndio mdogo kwa baba dWewe ni mdogo wangu...
Kunijua kivipi yaaanEeeeeeh! Wewe mtoto nakujua
Kwahiyo hutaki shikamoo yanguMsalimieeee muuza chips
Kuhusu nini tena mondrayEtii shunie ni kweli?