Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Wanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutanoJamani One day tungekutana aisee tuka pump Champagne aisee au nanyi ni watu wa system hamtaki kujulikana?