Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ukimanisha sakayo anakubemendaa?Mimi mwenyewe nina 21 yrs.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimanisha sakayo anakubemendaa?Mimi mwenyewe nina 21 yrs.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaadimika kapuku tu ila yupo jf kwenye majukwaa mengineHebu muite kwanza..
Manake siku huzi nikosekana jf tuu na yeye anasepa..
Mwambie Roho yake iko huku..Kaadimika kapuku tu ila yupo jf kwenye majukwaa mengine
Jamaan mbona me kapole T [emoji134]Marahaba kivuruge cha lee empire..
Ifike pahala......tutambuanee nani mkubwa nani mdogo make inauma sana mkubwa kumheshimu mdogo humu wakat mdogo hamueshimu ....
Tuwajuee form six leavers. ...mpaka wazee wa form form wanaosubiria advance hope hawapo
Wooooooozaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela shululu kama namuonaKipeeeeeeeeeeenziiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hii ndo simbaa bwaaaaaanaaaaaaaah
Mshiko wako upo na style ya leo ni mkomoanoooooo full kugalagalaaaaa
Wewe ni mdogo wangu...Ifike pahala......tutambuanee nani mkubwa nani mdogo make inauma sana mkubwa kumheshimu mdogo humu wakat mdogo hamueshimu ....
Tuwajuee form six leavers. ...mpaka wazee wa form form wanaosubiria advance hope hawapo
Umesema 21[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Eeeeeeh! Wewe mtoto nakujuaJamaan mbona me kapole T [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba D ebu itikia kwanza shikamoo yanguYamekutokaaaa au.....ujue humu kuna wazee
Me sipendi ujue emoji tuuuu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] nina emojiiiii
HakunaaaaaaaaNani analetaaaa fyokooooo
SijakataaaWewe ni mdogo wangu...
Ebu kama mwambie baba d aitikie jaman shkamoo yanguLee chikamooo
Msalimieeee muuza chips[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba D ebu itikia kwanza shikamoo yangu
Nipo hapaaa shemela mwambie baba d anipe mahela yangu tuShabikii wa ukweli huyo