Monday shikamooo
Si tutakuwaa woteeeNakujua we baba
Shemela za jioni shemela wanguShemela shikamoo
Anajua nafanya niniPole shemela kwa uchovu mwambie mke mwee akupe kampani
Main events saa 12 ....Hahahaa....
Lazima zitangulie game kama 3 hivi kwanza
DuuuuuuuhMimi kesho kazini aisee, isingekuwa hivyo ningeangalia tu
Weeeee chamaaahaniii chanaaaaaaLee chikamooo
Mimi mwenyewe nina 21 yrs..Hahaaaaaaa mshaniona mi ndio dogo..Chaplin je,Bitoz..



Mungu atusamehe keshoooo.....Naona kabisa watu wakikosa Ibada![]()
Hahaaaaa!Mungu atusamehe keshoooo.....
Habari zangu nzuri sana kaka ake shida mbona umepotea hivi jaman au ulikua malawiMarahaba dadake na Mimi habari ya siku
Mimi mwenyewe nina 21 yrs..![]()