Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nilikuwa na pori kidogo leo...Abeeee
Tupo watu wapo busy wanapambana na maisha nafasi ikipatikana tunapitia hapa kulisongesha,habari ya kupotea lakini
Nilikuwa na pori kidogo leo...Abeeee
Tupo watu wapo busy wanapambana na maisha nafasi ikipatikana tunapitia hapa kulisongesha,habari ya kupotea lakini
Kazi ipoUpdate on city game 1-1
rudisheni basi heshima ya makapuku jamaa wanatuzidi waleTupoooo
Tupo, karibumakapuku mpo???
Nmekumic pia shemela,Sakayo wako hajamboNimekumiss
Pole na karibuNilikuwa na pori kidogo leo...
Kwani tupo kwenye mashindanorudisheni basi heshima ya makapuku jamaa wanatuzidi wale
Pamoja mkuu nimekaribiaAhsante kamanda wa vijana kata ya hapo ulipo
Karibu sana mkuu
Nipo dada majukumu na vifaa vyangu vya mawasiliano vili zingua kidogoHbr ya kuadimika kaka ake
Ooooh pole kaka now vmetengamaa eeehNipo dada majukumu na vifaa vyangu vya mawasiliano vili zingua kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
still 1-1Update on city game 1-1
Nimenunua vipya maana naona mafundi wanaleta longo longoOoooh pole kaka now vmetengamaa eeeh
Pole kaka anguNimenunua vipya maana naona mafundi wanaleta longo longo
Asante nimesha poa habari za majukumuPole kaka angu
Mungu anasaidia kakaAsante nimesha poa habari za majukumu