Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Cjambo mpenzi,za siku nyingi?Aggyjay hujambo mpenzi.!
Cjambo mpenzi,za siku nyingi?Aggyjay hujambo mpenzi.!
Ni Gud sana man, natumai upo gud?Iko njema sana braza.
Habari ya wewe vipi?
Haaa haaaaahaahHuyu dogo hawezi, akae atulie aendelee kujifunza na kuona vile kaka zake tunavyojua kuwa handle wake zetu.
Achana na chaki, chukua kalamu ya wino (Obama) na daftali.ngoj ni tembee na chaki
Pouwa vp weweKaribu mpenzi, mambo vipi?
nitaanza kuandikaAchana na chaki, chukua kalamu ya wino (Obama) na daftali.
Poa mpenzi.Cjambo mpenzi,za siku nyingi?
Kwendraa... Yaani nikuachie mke?Jamaa anajua hapigi kazi ndiyo mana ameniachia....
Ni poua sana, tunazid kukimbizana na lyf tu mkuu..MS raha tu brother.
Vipi pande hizo.
nitaanza kuandika
Kuwa mwandishi wa habari kwa mda.nitaanza kuandika
Asante,sasa naomba umwambie huyo kidume kwamba mi nna mimba lakini sio yake.Kama akitaka tukasuluhishe kwa ba mchungaji sawa au hata akniacha sawaPoa mpenzi.
Nilikumisi sana,pole na mihangaiko.

Nipe ripoti mkuu, mbona sikuhizi unaadimika sana??The bosss jimenaaaaa
Miss you more
Kweli brother inabidi kupamba sana tu.Ni poua sana, tunazid kukimbizana na lyf tu mkuu..
WeraaaaaaaaaIsidingo Street.
nipo mkuu, husomek jukwaani!Upooo!!!!!
Nipo salama kabisa kaka, Machalii wanasemaje hapo R?Ni Gud sana man, natumai upo gud?