Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
nishaanza safari ya kuelekeaSasa Ibrahim Msuya unakumbuka rules nilizokupa jana
1.Toa likes upate likes![]()
2.Dont forget rule number one![]()

nishaanza safari ya kuelekeaSasa Ibrahim Msuya unakumbuka rules nilizokupa jana
1.Toa likes upate likes![]()
2.Dont forget rule number one![]()

Hapa ni kama westgate mkuu.Huu mtaa ndo unaitwaje!!? Mbona pamechangamka....
Ni salama kabisa.Nzuri kaka, wewe je!
dd unakula chakula gnMchana mwemaaaa
Yupo?mpe hiKaribu dada, emmyguy alishaanza kuchizika humu
Hapana mkuu.Hahah huna lolotee..... Kazi imekushindaaa
Karibbbuuu huku ni mwendo Wa likes na comments.....nishaanza safari ya kuelekea![]()
Ni nzuri kabisa kaka, za tangu jana vipi kaka?Poa sana kabisa mkuu..Wewe adje adje?
Mkuu tafadhali usitumie sana hivyo vifupisho dd*,gn*....dd unakula chakula gn
juice tuKaribbbuuu huku ni mwendo Wa likes na comments.....
Unakunywa kinywaji gani
Aggyjay hujambo mpenzi.!Yupo?mpe hi
Tunakimbiza mkuu hakuna mbaya kabisa..Ni nzuri kabisa kaka, za tangu jana vipi kaka?
Ni kweli maana hata mimi naona.Tunakimbiza mkuu hakuna mbaya kabisa..
Pwaaaaaah..Mkuu umenifanya nipaliwe ulivyotaja jina la jambilo jamaa anataka kuniletea balaa baina yangu na amaizing my wife pamoja na youngblood anasema youngblood ameanza kuruka mipaka ya ushemeji..Ni shida inayohitaji maombi kutoka kwa mchungaji jambilo.
Ni nzuri tu madam, vipi wewe?Njema habari yako?
Kwani wewe unaonaje mkuu.EMMYGUY huyu Jamaa anamatatizo gani????