EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asante kwa kulijua hilo pia kaka yangu.We we pia naona pumzi imekata

Asante kwa kulijua hilo pia kaka yangu.We we pia naona pumzi imekata

Manenooo mengiAsante kwa kulijua hilo pia kaka yangu.
![]()
![]()
Isidingo Street.Huu mtaa ndo unaitwaje!!? Mbona pamechangamka....
youngblood kisa eti yupo team Ommy Dimpoz(jogoo hapandi). Unategemea nini hapo?Hivi kwanini Nahrene kamuacha Youngblood
YeeesIsidingo Street.
Haahaah haaah kweli kazi manenooo....youngblood kisa eti yupo team Ommy Dimpoz(jogoo hapandi). Unategemea nini hapo?
Mch. anajifunza unafiki.Pwaaaaaah..Mkuu umenifanya nipaliwe ulivyotaja jina la jambilo jamaa anataka kuniletea balaa baina yangu na amaizing my wife pamoja na youngblood anasema youngblood ameanza kuruka mipaka ya ushemeji..
Yaani ni hamna kitu kabisa kwa huyu jamaa.Haahaah haaah kweli kazi manenooo....
Kumbe nyuki Wa mashinen...
Huyu hana madhara....Haata
umemaanisha nnJamaa anajua hapigi kazi ndiyo mana ameniachia....
Huyu jamaa youngblood hana lolote, atabaki kuwa kama Ommy tu.EMMYGUY huyu Jamaa anamatatizo gani????
Haahah nimemtoa kwenye listYaani ni hamna kitu kabisa kwa huyu jamaa.
Ni ommy dimpozumemaanisha nn
Nitamtoa nishai mda si mrefu.Ahaaaa kwavile unaongoza Jf kwa kuwa na likes nyingi ndio unataka ucheze na shemejio
Hahahahaa... kwenye list ipi kweli?Haahah nimemtoa kwenye list

Ya kina ney Wa mitegoHahahahaa... kwenye list ipi kweli?![]()
Ndo maana yake, hapo sawa. Usipende kutamani shemejiyo wewe, wachukulie kama dada zako ambao huwezi watongoza.Mkuu upendo wangu kwa aggyjay ni agape type.
Hahahaa...Ya kina ney Wa mitego
Ha Haaaa.....mfanye awe anavaa msuliNitamtoa nishai mda si mrefu.
Tena hili jipu linamfaa sana huyu kijana kwa ajili ya kumtumbua.Haaahah.....
Emmyguy atakutumbua
Huyu dogo hawezi, akae atulie aendelee kujifunza na kuona vile kaka zake tunavyojua kuwa handle wake zetu.Ha Haaaa.....mfanye awe anavaa msuli