Yule si ndugu yako, mlitumbua na mali za urithi?Unaniuliza mie![]()
![]()
![]()
Mpigie, mpm au mtag ikishindikana Itakubidi ukaandike police report

ni kweli mtu wangu, changamoto za maisha ndo mwamuzi ..Ni poa, kukumiss tu hapa KF
maan naon hakun mwanaume hajui kutongozaKuwa mwandishi wa habari kwa mda.
Cjambo mpenzi,za siku nyingi?

Kama kawaida wanakimbizana na hii life mkuu ...Nipo salama kabisa kaka, Machalii wanasemaje hapo R?
Changamoto hatuna budi kupambana nazo, wapi briz na Cobblepots tufanye mkesha mwingine??ni kweli mtu wangu, changamoto za maisha ndo mwamuzi ..
upo fresh lakini?
Sasa akiwa ndugu yangu ndo nijue kila anapoenda?? Heee si itakuwa kazi sasaYule si ndugu yako, mlitumbua na mali za urithi?
![]()
Ni kweli kaka, maisha ni kutafuta.Kama kawaida wanakimbizana na hii life mkuu ...
Kaushaaa....Sasa akiwa ndugu yangu ndo nijue kila anapoenda?? Heee si itakuwa kazi sasa
naona umewahi post ya #27000Sasa akiwa ndugu yangu ndo nijue kila anapoenda?? Heee si itakuwa kazi sasa
duh, hawa wadau briz & Cobblepots ni mda sana sijawanyaka ...Changamoto hatuna budi kupambana nazo, wapi briz na Cobblepots tufanye mkesha mwingine??
Hehehe kaaazi kweli kweli![]()
Yesu wangu
![]()
......![]()
... Pashaharibika hapo.
Haiitaji mch. ni maamuzi ya wawili katika kuelewana.Asante,sasa naomba umwambie huyo kidume kwamba mi nna mimba lakini sio yake.Kama akitaka tukasuluhishe kwa ba mchungaji sawa au hata akniacha sawa![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa nimemsaidi hadi kuotesha watoto.Hehehe kaaazi kweli kweli