Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nashukuru Dada kwa kuliona hili. Huyu youngblood anafikiri lizziebettie nilimpata humu.

Kingine majungu tu yamemjaa sana. Atasubiri sana kwa maombi yake ya hovyo. Pia manuu na amaizing naikubali maana nilijitahidi kuwaunganisha mpaka mambo yakawa sawa.
Pamoja sana mkuu na lilikuwa jambo sahihi kwa wakati sahihi...Shukrani tele zikurudie na sijajuta kuwa na amaizing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom