Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hiyo kwaito veepe...Jamaan T mbona unataka kutuliza usitufanyie hivyo tunakupenda sie jaman nasubiria kwaito kwa hamu mie na kimini changu cha kitenge
Kuna mtu aliuliza Taratibu za kibondei then akakimbiamo
Mungu akulindie T wako jaman
