Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Naleta mama...Naomba redbull mboni yangu
Naleta mama...Naomba redbull mboni yangu
Poa poaAkisema nitag
Nambie shemela,naona leo umekuwa pedeshee T unagawa vinywaji kwa kila anaekatiza mbele ykoMama jj
Hahahaavatar ipi hiyo nimekushindwa mie jaman
I can't breath...Mungu atupe wanaume waaminifu, wenye upendo wa dhati na wanaojitambua.....
Just love you
Penda wewe zaidi mboni yanguHii miguno hii jamaaani...
Ila nimekuelewa mimi..
Nakupenda![]()
Naleta ndoo ya maji mimiKho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho


Mungu anipe nini teenaaNaleta mama...
BabeI can't breath...
Pls,
Nakupenda
Huo ndio ukweli dada mengine malizia weweSema ukweli
Uniogeshe auNaleta ndoo ya maji mimi![]()
Tukutane kwa mkemia mkuu na mumeo na watto wenu mpaka wakina jj wanapimwa kojo nao![]()
![]()
we katupime tu kwani hyo hela ya kununulia ulitupatia ww mpaka utuwekee masharti
Unajua vile si upendi huo mgunooMmmmh
Jamaan T mbona unataka kutuliza usitufanyie hivyo tunakupenda sie jaman nasubiria kwaito kwa hamu mie na kimini changu cha kitengeAmina shunie mdogo wake sakayo..!
Watoto wa Kitanga...
Watoto wenye roho safiiiiiiiii...
Watoto wenye busara zao...
Watoto wenye heshima kwa waume zao..
Watoto wenye akili za maisha...
Mungu awape nini tena wewe na Sakayo wangu..?
![]()
Kuna muda inabidi mdogo wanguUnajua vile si upendi huo mgunoo
Ulokole upo pale pale mke mwee mara moja kwa mwaka kunywa si mbaya jaman![]()
![]()
na ulokole je?
Ewaaaaaa shem nikupe nini mimi jamaa T wa dadaNaleta kikatoni kimoja shem