Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Ameen nawaombea mie jaman msije kunitia aibu tu me sura yangu nitaiweka wapi jaman jf apa na kapukuNiombee tuu tupendane na dada yako mileleee...
Hata siku ya ufufuo nifufuke naye
Ameen nawaombea mie jaman msije kunitia aibu tu me sura yangu nitaiweka wapi jaman jf apa na kapukuNiombee tuu tupendane na dada yako mileleee...
Hata siku ya ufufuo nifufuke naye
We utavaa sare ya kitenge bae???? Shunie anavaa kimini cha kitenge na lee shati la kitenge utadhani waimba kwayaHahaaa...
Bae jamaaani vipi tena
HahahaAhahah kimini kinavaliwa siku ya kwaito mjue msinitanie
Na mi Mungu aniweke jaman nikiwazikaHahaha
Umejua kunifurahisha ujue.... Mie naomba tukufwe wote

WoooooooozaaaaaWewe ungejua tuu.
Leo si umeona ndizi nimenya na kupika mwenyewe
Ndiwooooo na suruali nyeusi jamanHahaha
Na lee shati eeehh
Haaaaahaaaa, ya kijeda kweliavatar ipi hiyo nimekushindwa mie jaman
Basi nitapunguzaAhahha uwaze nini huwa unaniuzi ujui tu nawaza uchochezi tu mie
Yamekuwa hayo teenaaAmeen nawaombea mie jaman msije kunitia aibu tu me sura yangu nitaiweka wapi jaman jf apa na kapuku
Hii simu leo inakaziTukutane kwa mkemia mkuu na mumeo na watto wenu mpaka wakina jj wanapimwa kojo nao
HallelujahNa mi Mungu aniweke jaman nikiwazika![]()

HahahaWoooooooozaaaaa
Ni ushauri wa daktariUlokole upo pale pale mke mwee mara moja kwa mwaka kunywa si mbaya jaman
Kwenda... Kwani ni mwimbaji auNdiwooooo na suruali nyeusi jaman
Hivi uliona eeehhHaaaaahaaaa, ya kijeda kweli
Jaman niwekeeni shemela niioneHaaaaahaaaa, ya kijeda kweli
Kakataa kujibuHahaha
Ndioo au kuna mwingine