Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
MmmmhNajua dada haupendi jaman lakini hakuna namna sababu humpendi T padri unampenda T wa beeeeereeeee
MmmmhNajua dada haupendi jaman lakini hakuna namna sababu humpendi T padri unampenda T wa beeeeereeeee
Ahahha kwa nini shemela jaman naitws shunie mieShemela jina lako gumu kuandika ehee
Umeagiza lakini?Mwaka wa man u huuu hutakiiii sikulazimishiii![]()
Ahhaha mie bonge shemela huyo kafanana na dada angu mie anajijuaAsante shemela, mimi mwenyewe nilijua huyo white labda ndiyo wewe![]()
![]()
![]()
Watoto hatareeeeNawasalimu kwa awamu ya pili kwa udhamini mkubwa wa man u watoto wa old trafford
Urembo ni utanashati wako tu mke mwee jaman ndio siri ya urembo wangu jamanNpo naona umechangamka balaa npe siri ya urembo
Nawapenda ni watoto wa mzee mmoja.Dada angu mie apa shuniii kibonge nakupenda jamaan Mungu azidi kuniwekea sakayo nikilia tunalia wote nikicheka tunacheka wote acha niendelee tu kukupenda mimi jamaan![]()
Hahaaa..Aiseeee
Amefanana na leey
SawaShangilia basiiiii...
Team ya mmeo imeshinda
UmeonaeeNawapenda ni watoto wa mzee mmoja.
Namalizia kupika bhana..Alikuwa hapa anagawa vinywaji Sijui kaelekea wapiii
Mpaka nije kukufurumusha huko jikoni kila siku kweeeli




akiiii nimecheka sana ila una mikwara wewe dada hivi sio askari we jaman nawaza tu apa kwa upoleHatutaki disturbance yko acha tule wenzioWooooooozaaaaa kapicha basi shemela
Serengeti ndogooo...?Ebu niitie akuje haraka mwambie aniletee kachupa ka kijani kadogo hivii cha baridiii
Mmh kojo tena dada jamanUtapimwa kojo ujue
Andika vizuriHahaaa..
Hapo miki sipoo