Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
D mzima kabisa shemela sijui wakina jj jaman nimemmiss mke mweeMimi mzima kabisa shemela wa mimi, D hajambo
D mzima kabisa shemela sijui wakina jj jaman nimemmiss mke mweeMimi mzima kabisa shemela wa mimi, D hajambo
MmmmhEbu niitie akuje haraka mwambie aniletee kachupa ka kijani kadogo hivii cha baridiii
Nakushangaa wewe apo sasaaamwehu wewe negative kwan sie tuna studio ya kusafisha


shemela wangu mie asante sana umeifanya jumamosi inaishia vizuri sana huyo mdada anaecheza aliyevaa white kafanana na mtu fudenge dada angu mie 
Wapo wazima kabisa na mama pia mzima, tupo mzalendo hapa tunapata mishikakiD mzima kabisa shemela sijui wakina jj jaman nimemmiss mke mwee
Ewaaaaaaa akuje aniletee mie jaman halaf si unajua vene sipendi mguno wako dadaMmmmh
Cc Transcend
Mfyuuuu zako uache kumshangaa aliyekutumia kivuli chake huko unishangae mieNakushangaa wewe apo sasaaa

mshangae makondakta huko au mzee wa hapa kazi tu
Wooooooozaaaaa kapicha basi shemelaWapo wazima kabisa na mama pia mzima, tupo mzalendo hapa tunapata mishikaki
Hahahanimekuja jamaan sio kwa vitisho vile dada jaman
Unajua wewe ni mchochezi mdogo wangu...Mfyuuuu zako uache kumshangaa aliyekutumia kivuli chake huko unishangae miemshangae makondakta huko au mzee wa hapa kazi tu
Lazima nigune tuu... Halafu ujue Sipendi hizo pombe zenuEwaaaaaaa akuje aniletee mie jaman halaf si unajua vene sipendi mguno wako dada
Sisi hatujambo mke mweeeNawasalimu katika jina la Bwana Yesu kristo lipitalo majina yote
Dada jaman makusudi gani tena si hivi nimekujaHahaha
Ila wewe unakuwaga na makusudi
Unajua wewe ni mchochezi mdogo wangu...




we ndio unanifundisha dada uchochezi ujue me kapole jaman kivuli veeepAsante shemela, mimi mwenyewe nilijua huyo white labda ndiyo weweshemela wangu mie asante sana umeifanya jumamosi inaishia vizuri sana huyo mdada anaecheza aliyevaa white kafanana na mtu fudenge dada angu mie
![]()

Npo naona umechangamka balaa npe siri ya uremboD mzima kabisa shemela sijui wakina jj jaman nimemmiss mke mwee
Najua dada haupendi jaman lakini hakuna namna sababu humpendi T padri unampenda T wa beeeeereeeeeLazima nigune tuu... Halafu ujue Sipendi hizo pombe zenu
Mpaka nije kukufurumusha huko jikoni kila siku kweeeliDada jaman makusudi gani tena si hivi nimekuja
Utapimwa kojo ujuewe ndio unanifundisha dada uchochezi ujue me kapole jaman kivuli veeep