Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Ukimya Unaopiga Kelele

Kuna kuwa kimya na kukaa kimya, haya yanatofautiana. Ngoja kwanza, usiharakie kusema mbona yote yanafanana, nani kasema. Kuwa kimya ni dhana nzima ya kujitafakari, unajitafakari tembea yako, unatafakari ufanye nini, huzungushi ulimi. yeah, huzungushi ulimi maana hata ukimpa ulimi unayempenda ulimi utaongea na huku ndo kukaa kimya na kuwa kimya ni kelele zenye sauti ya nyangumi. Huelewi, well, hatushindani kufikiri maana leo ni furahiday na always I take this delicious day very easy, and hate those making obnoxious noise na kuusumbua ukimya wangu.

Napita tu, kimya kimya, napekua usisikie kelele zangu nikiwasalimia shululu ambaye sichoki kusoma magazeti, unanianzishia siku kwa uzuri kabisa. Nakushushukuru Jimena kwa historia na wine ya Ximena bila kusahau Chi seeds (nikajua ni 'kai square'), asante Shunie kwa sala, sijakusahau Madame S , picha zinaongea sana na ndizo zimenivuta kuandika ninachoandika leo.

Asante Bitoz kwa kutia chachandu, sijakusahau husna muba sichoki kukukumbuka, Tumosa ujue safari yangu nakutegemea, Sakayo ujue Transcend leo kabamba Jukwaa kwa picha nzuri. Na Clkey , mzeewakungoa , Nyagei , Mondray , shedede , koncho77 , Mkushi wa kusi Mndali ndanyelakakomu lee empire , na wewe msomaji mnajijua kabisa bila nyinyi jukwaa hili linabaki kuwa kama majukwaa mengine tu ya kawaida. Uwepo wenu hapa unaifanya KF iwe hot na wengine kupiga miayo ya njaa kama wapishi wa hotel.

Muziki sasa; hey, sijarudi bado sema hii furahiday nimekaa naangusha mbuyu hapa kwa taratibu maana asubuhi inaanza kama jumatatu


Shukran Kwa Ngoma Hilo
 
4/ je wajua kitunguu kikubwa zaidi duniani?

IMG_20170818_094104_143.JPG


Ni mkulima maarufu aliyejulikana kama Peter Glazebrook mwenye mazao ya aina yake, amevunja rekodi hii kwa miaka karibu sita mfululizo kwa kulima vitunguu vikubwa zaidi duniani

Alikua na miaka 68 wakati anavunja rekodi hii,aipanda 2012 na hua na utaratibu wa kumwagilia maji kila asubuhi siku za jua

Tumezoea unapokata vitunguu ule moshi wake lazima ukulize wewe mkataji lakini vitunguu vya bwana Peter kitakatwa basi mlioko jikoni wote mtalia kutokana na moshi wake mkali na kitunguu hiki kina uwezo wa kutoa vitunguu vodogo vidogo vipatavyo 250 au na zaidi

Kina uzito wa 8.5 kg

IMG_20170818_094117_550.JPG


Madame S
 
5/ je wamjua mtu mwenye ulimi mrefu zaidi duniani?

Anaitwa Nick Stoeberl akitokea California ana ulimi wa 10.10 cm

IMG_20170818_093944_361.JPG


Alivunja rekodi hii ya World Largest Records akiwa na miaka 24 November 2012

Mwenye anakwambia hana shida ya tissue wala kitambaa kujifuta endapo anakula hutumia tu ulimi wake kulamba hicho cha kula kilichomnatia

Hutumia muda mrefu zaidi asubuhi wakati wa kusafisha kinywa na hutenga muda kwa ajili ya kuusafisha ulimi wake tu

Asanteni kwa muda wenu
Tukutane jumatatu Mungu akipenda kwa je wajua zingine kali na zilizobamba

Madame S
 
View attachment 570042. Honestly nilikua najiulizaga sana et unakuta wameagiza mazaga zaga kibao kinaliwa kipamde kidogo cha chips sahani imejaa tele na soda anakunywa funda moja anaacha hapo yaani niliona hizi scene hazitendewi haki kabisa

Madame S
Huwa wanarudi kumalizia wakisha shoot hicho kipande ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom