Mimi mzima kabisa, vip pande hizoMzima wewe
Madame S
Tunashukuru Mungu kumekuchaMimi mzima kabisa, vip pande hizo
Asante kwa dondoo za magazeti je wajua inakujia hivi pundeView attachment 570004Asubuhi njema makapuku wote
Karibu MadameAsante kwa dondoo za magazeti je wajua inakujia hivi punde
Madame S
Asante kwa magazetiView attachment 570004Asubuhi njema makapuku wote
Kwako pia ShululuView attachment 570004Asubuhi njema makapuku wote
Karibu ankali JJAsante kwa magazeti
Njema za kwakoHabari ya jumamosi family
Nzuri kabisa ankali JJ, vip upande wakoHabari ya jumamosi family
DuuHope kila mmoja ni mzima wa afya na kila alokuwa na maradhibas Allah amfanyie tahfif apone upesi maradhi yake karibuni katika je wajua
1/ waswahili ama wahenga wanamsemo wao kwamba ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Je wajua mtu alietumia muda mrefu zaidi kukaa ndani ya jeneza na kufukiwa chini kama mtu aliyefariki il hali yakuwa yu hai?
View attachment 570006
Ni bwana Zdnek Zahradka raia wa Czech Republic alikaa kwenye jeneza hilo kwa siku kumi, hakua na chakula wala maji zaidi ya msaada wa bomba lilopitishwa kwenye jeneza lake kutokea huku duniani.
Bomba hilo lilimuwezesha kupumua na kuwasiliana na ndugu jamaa pamoja na marafiki walioko huku duniani, alivunja rekodi hii na kuipiku iliyokuwa imevunjwa na aliekaa siku nne tu huko kaburini.
View attachment 570008
Alivunja rekodi hii akiwa na miaka 50, changamoto alizopitia alipoulizwa baadae baada ya kushinda rekodi hii alisema ni kiu ndio kilimsumbua tu
Alipokua huko alikozikwa hai aliulizwa ni yapi au kipi alichokua akikifikiria zaidi na alijibu alikua akifiria zaidi mengi yaliyokua yakiendelea duniani kwa wakati huo, aliongezea kuwa tushukuru kila mda tunaoupata tunapokuwa hai na tuheshim maisha yetu haya tunayoyaishi
Mkewe bi Alena aliulizwa wakati mumeo anatarajia kufanya haya wewe uliipokeaje hii tarifa, akijibu niligoma na kukataa na sikutaka afanye alichofanya kabisa lakini kwa kua ameshinda na kufanikiwa nimefurahia ushindi wake (rekodi alioiweka)
Unataka kupungua uzito kwa haraka? Madaktari walithibitisha bwana Zdnek alipoteza kg 9 alipotolewa kwenye jeneza
Hii inakua ni rekodi yake ya pili kuweka historia duniani baada ya ile ya kwanza ya mwaka 1979 alioshinda akiwa ni mtu wa kwanza kuweza kumeza panga lenye urefu wa 55 cm
Hapa akimeza panga hilo kama inavyoonekana kwa picha
View attachment 570012
Hapa panga likiwa limeingia lote kabisa
View attachment 570013
Madame S
MhHope kila mmoja ni mzima wa afya na kila alokuwa na maradhibas Allah amfanyie tahfif apone upesi maradhi yake karibuni katika je wajua

Pamoja sana mkushi wa kusiKwako pia Shululu