Makapuku Forum

Mi nilikuwa nahisi kuwa anafanya hiphop nje ya mieleka
 
Hawa walikuwa wawili bitoz kipindi hicho mwenzie nimemsahau jina lake nilikua simpendi great kali sjui asee umenikumbusha mbali

Madame S
 
3/Steve Austin Alichaliwa Desemba 18 mwaka 1964
Huyu ukimwita tu nguli wa mieleka ni kama unampunja sifa maana kwenye filamu pia anakimbiza vibaya pale Hollywood
Ni mzaliwa wa kojijini kwa George Bush pale Texas ila hawana mambp ya kupigana assist kama waswahili huku
Ana mikataba kibao ya matangazo na kucheza filamu za kibabe
Kwenye mieleka keshabeba mataji kibao :
Ana utajiri wa USD 45 Milioni
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…