Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
AmeeeenHallelujah....
AmeeeenHallelujah....
Hapana dada ujue maneno yananiingia hujui tuWe unataka kuharibu sasa, hebu Ntokee hapa na kitenge chako
Nalifahamu hili hata chakula huws hakipiti kabisaNajua T... Mie pia Nakupenda ujue
Amen...Love is everything...
Familia nyingi zipo hai na zinaishi kwa sababu ya upendo wa kweli..
Hata vitabu vitakatifu vinasisitiza upendo...
Loooooove!.
Kunywa shem wangu mie ata chupa tatu muhudumu aje achukue elf 10 yakeNakunywa maji ya kilimanjaro hapa shem..
Wanauza 3000/= , ila nakunywa chupa moja tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh
Amen.... Nawe pia mdogo wangu[emoji524] Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Basi nawaambia kila neno lisilo maan watakalolinena wanadamu watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu
Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa [emoji524]
MATHAYO 12:35-37
Wapendwa tuwe makini sana na maneno tutamkayo [emoji7]
Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu nawapenda sana mimi Mungu azidi kutuweka tu jaman [emoji120]
Shunie jamanii...Nipo apa mimi nasubiria kwaito jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yaan najiskia kula tu jaman ndizi me ndio huwa zinanifanya hivi ujueHahaha
Kibonge bhanaa.... Yaani ndizi sufuria lote lile eeehh
Hapana babu jaman nisamehe tuUnaniforce nikudanganye mjukuu wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko Sawaaaa kweeeli... Usije badili gia angani Uwe padiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimelimiss ujue.. Bendera veepe au ulikunywa maji yake
T nakupenda ujue roho ya dada angu ungekua karibu ningekuja kukuhug tu ujueLove is everything...
Familia nyingi zipo hai na zinaishi kwa sababu ya upendo wa kweli..
Hata vitabu vitakatifu vinasisitiza upendo...
Loooooove!.
Heri wale walio wanyonge... Maana watakuwa watukufu katika ufalme wa mbinguni... Ha ha ha ha ha.Kuonewa ni udhaifu ujue
Usicheke Shunie... Huyoo sio yuleee nimjuae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kudanganywa dada jamanHahaha
We mdanganye tuu
Yaani unafurahi kweeeli mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante dada [emoji120]Amen.... Nawe pia mdogo wangu
Nimefanyaje tena dada jaman nawapenda sana jaman hamjui tuShunie jamanii...
Kweli kabisa... Sisi ndo wenye tabu.Ameen babu kikubwa ni uzima Mungu ni mwaminifu sana kwetu sisi binadamu