Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naachaje kwaito sasa? [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naachaje kwaito sasa? [emoji3][emoji3]
Hapo kuna shida ujue... T ukujeSasa huyu ni nani lakini dada T huyu ujue ndio mzuri
Hana asili yoyote ya huko kwa nini babuSakayo una asili ya Bukoba?
Haya nimekuelewaLove is everything...
Familia nyingi zipo hai na zinaishi kwa sababu ya upendo wa kweli..
Hata vitabu vitakatifu vinasisitiza upendo...
Loooooove!.
Hahaha.... Leo Sipati picha ya huo mlaloo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimebaki buana nataka kula tena nikikaribia kwenda kulala hapana jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue dada kwa nini babu nimemuuliza vile alivyosema nani sijui aliichezea coastal ya tanga ndio mana nikamuuliza vileHahaha
Kwa nini utake babu awe Naymar wa Tanga
Ewaaa....Mwezi wa 10...
Kina Tumosa na shunie wajiandae kuvaa Vitenge.
SawaPole pole baby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakikumbuka kilishaenda kusafishwa imekuja yenyeweUnakumbuka kile kivuli eeehh
Hapo SawaaaaNaachaje kwaito sasa? [emoji3][emoji3]
Sasa humtaki T huyu unataka T yule wa beereeeee eenhHapo kuna shida ujue... T ukuje
Mma inamzubaisha ujueKwahiyo haufurahii mumeo kunywa mma unataka akunywe beer enh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Sawaaaa
Naipenda Tz tuu...Nimelimiss ujue.. Bendera veepe au ulikunywa maji yake
Yaaani ninaweza kudanganya balaa.... Wakati nikiwa shuleni nilikuwa... Lakini nafsi inachukia kudanganya na kudanganywa.Hahaha
We mdanganye tuu
Babu naomba nisikudanganye... You know what I mean... Nimefanyamo kazi kwa mudaSakayo una asili ya Bukoba?
Usijali shemNipo apa mimi nasubiria kwaito jaman
Nampenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo T huyu humtaki kabisa
Aweze kula tuu jamaani...Nalifahamu hili hata chakula huws hakipiti kabisa