Makapuku Forum

Huku viwanda vipo mdomoni tu
 
.....wewe mgeni humu eeeh, mvua nyingine hunyesha kwenye maeneo binafsi. Na ukijidai ufundi unakutana na mafuriko kama huna life jacket utaogelea sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
5/South Korea
Kwa hapa Jf mtu akitumia simu ya SAMSUNG anajiona bonge la mjanja kuliko akina TECNO yaani yupo radhi anunue Samsung ya 500k yenye kamera mbovu kuliko Tecno ya 200k yenye kamera nzuri ilimradi atambie brand utafikiri imetoka kwa babu yake
Kampuni hii kubwa zaidi huko Korea Kusini ndiyo iliyomwondoa nadarakani Rais wao mwaka huu kwa tuhuma za rushwa na mwisho wa siku kupandishwa kizimbani
Wakorea wanasifika kwa kuzalisha bidhaa zenye viwango hivyo usishangae kutawala soko
Uzalishaji wa viwandani huchangia USD 350 ambayo ni 33% ya GDP
Huku vikilipa kodi ya moja kwa moja ya 25%
.......
 
Yaaani mtu anakuwa muongo mpaka anajidanganya.... Inanikumbusha mchezaji mmoja wa coastal Union wakati Tupo wadogo anaitwa Titus Bandawe.... Alikuwa anapenda chenga sana uwanjani mpaka wakati mwingine anajipiga chenga mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya kweli haya au kuna kitu unanificha

Madame S
 
4/Japan
Aliyebuni bendera yao anaweza kuwa mbunifu mvivu kuliko wote duniani nafikiri alikuwa keshapiga maji wakati anachora
Huku Bongo katika nagari 10 ya usafiri binafsi 8 yanaweza kuwa ni TOYOTA yaani wamelikamata soko la bongo
Avhana na Toyota vipi kuhusu Suzuki,Honda,Toshiba n.k ?
Pale EPL wajapan ndio waliowadhamini Chelsea kupitia matairi ya Yokohama.....wazee wa viwanda
Viwanda huzalisha na kuchangia USD 1,000 Bilioni ambayo ni 20% ya GDP
Hulipa kodi ya 33%
........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…