Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/United Kingdom
429a0cc3880984f67a8ec08e2b03506d.jpg
17e35312979080cd2f4c3a42f8fe66ae.jpg
683a420b1bd92ca22ca750d572744e12.jpg

Waingereza kwa majivuno !!
Ngoja niwatangazie tu bidhaa yao maana wanapenda kujikweza...."hiyo ndio bia bora zaidi duniani" hawa ndio Waingereza
Huko kwao kumetapakaa viwanda vya uzalishaji mali kuanzia Birmigham,Liverpool hadi Manchester ...baadhi ya timu chimbuko lao ni viwanda
Kama umesoma historia topiki ya Industrial Revolution utawaelewa Waingereza
Huko huchangia USD 245 Bilioni ambayo ni karibia 10& ya GDP
Corporrate tax rate ni 20%

.........................................
Zitaendelea baadaye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom