Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Mtaasisi hii picha iko na shida haionekani
Okay, ngoja nifanye makeke ionekane au niibadili kabisa
Mtaasisi hii picha iko na shida haionekani
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
InaonekanaMtaasisi hii picha iko na shida haionekani
Kipo umesahau kuwa huyo ni dj ObeBinamu heshima yako tu hivi we kuna cha kukuomba jaman ila nimekumiss tu mimi
Nawe pia mkuu ChaplinMuwe na mchana mwema
Mie cjambo pia mke mweee D na baba ake hawajamboMama jj me mzima jaman hofu kwako tu
My swi[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Morning too
Kipo umesahau kuwa huyo ni dj Obe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ulizimaje shemela, huku uko busy [emoji3] [emoji3] [emoji3]
My swiKipo umesahau kuwa huyo ni dj Obe
Penda sana weweMy swi[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mzima lkn...ha ha ahahahah, ninalala kama bondia, anaweza kuomba mkanda wakati mimi ni mutu ya mamiziki
Binamu naomba nyimbo mie iniburudishe na hali ya hewa hii...ha ha ahahahah, ninalala kama bondia, anaweza kuomba mkanda wakati mimi ni mutu ya mamiziki
[emoji4][emoji4]Kipo umesahau kuwa huyo ni dj Obe
Sinza kuna mvua ehee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu naomba nyimbo mie iniburudishe na hali ya hewa hii
[emoji122] [emoji122] tantee shem wangeHongera shem kwa 265k
Woyooooooooooo watu na bae zaoKiss kiss
Uko poa lakini
Hamna mvua ila hali ya hewa ya wingu zito huku mbezi jaman sio sinza shemelaSinza kuna mvua ehee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe mbezi, nilijua sinzaHamna mvua ila hali ya hewa ya wingu zito huku mbezi jaman sio sinza shemela
Shemela jaman nakaa mbezi mimi malamba mawiliKumbe mbezi, nilijua sinza